×

Rais Dkt. Samia Ameshiriki Mkutano wa Wakuu wa SADC-Organ Troika Summit

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ Troika Summit), Harare nchini Zimbabwe Agosti 16, 2024.

 

“TAIFA LIKIKUBALI KUACHA TAMADUNI ZAKE LINAKUA LIMEAMUA KUWA TAIFA MFU” – KATIBU MKUU…

Leave a Comment