×

Yanga SC Wainyuka Vital’O FC Azam Complex

Wachezaji wa klabu ya Yanga SC wakishangilia goli la tatu lililofungwa na Clement Mzize

Klabu ya Yanga SC imeibuka na ushindi katika mchezo wao wa kwanza katika hatua za awali klabu Bingwa Afrika mara baada ya kuibuka na ushindi wa goli nne kwa bila dhidi ya Vital’O FC katika dimba la Azam Complex Chamazi.

Leave a Comment