“Siku ya Utalii” kwenye Tamasha la Kizimkazi linaloendelea Makunduchi, Zanzibar, ikiwa limedhaminiwa na Azania Bank lilianza kwa mashindano yaliyofana ya mbio za baiskeli za kilomita 73 kutoka Mjini Magharibi Pwani mpaka Makunduchi.