×

Lulu Mganga Ataka Kulia Mazito Aliyopitia ”Nimeteseka, Nilirogwa Mpaka Dunia Nikaona Chungu” – Video

Mwanadada aliyejipatia ustaa mkubwa mitandaoni, Dotto Waziri.

Mwanadada aliyejipatia ustaa mkubwa mitandaoni, Dotto Waziri almaarufu @lulu_white_product amesema ni kweli yeye ni mganga wa kienyeji na kwamba hakutaka kuwa mganga isipokuwa uganga ndiyo uliomtaka yeye.

Leave a Comment