×

Zaiylissa: Lazima Niwe na Wivu Kwa Mume Wangu, Ninatunzwa

Staa wa filamu za Kibongo ambaye anafanya poa kwenye tamthiliya ya Jua Kali, @zaiylissa amefunguka kuwa kila kukicha anapendeza kwa sababu anatunzwa vilivyo na mumewe na anatunzwa kwa kila kitu kuanzia mavazi na akaongeza kuwa lazima amuonee wivu mumewe kwa sababu anampenda sa

Leave a Comment