×

Siku Nyingine Ya Kushinda Mamlioni Na Meridianbet

Leo ni siku nyingine ya kushinda mamilioni kupitia kamnpuni bingwa ya michezo ya kubashiri ya Meridianbet, Hii ni kutokana na michuano mbalimbali ambayo itaendelea leo kwenye viwanja tofauti tofauti.

Moja ya ligi ambayo itaendelea leo ni pamoja na ligi kuu nchini Hispania La Liga, michezo ya kufuzu ligi ya mabingwa barani ulaya hatua ya makundi, Lakini pia michuano ya kombe la EFL pale nchini Uingereza mzunguko wa pili.

Baada ya kupigwa dhidi ya Barcelona wikiendi iliyomalizika leo Athletic club watakua nyumbani wakimenyana na klabu ya Valencia, Klabu ya Atletico Madrid leo watakua pale Wanda Metropolitano kukipiga dhidi ya klabu ya Espanyol.

Kwenye michezo ya kufuzu ligi ya mabingwa ulaya hatua ya makundi kwa msimu wa 2024/25 nayo itaendelea ambapo klabu ya Slavia Prague watacheza dhidi ya Lille, Huku Qarabag Fc wao wakimenyana na klabu ya Dinamo Zagreb.

Bado mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet wanaendelea kuhakikisha unapigwa mkwanja wa kutosha kupitia michezo mbalimbali inayopigwa kila siku bila kusahau wanaendelea kumwaga ODDS BOMBA kila siku.

Kutakua na michezo mingine ya michuano ya EFL pale nchini Uingereza ambapo itapigwa mechi kali kati ya Nottingham Forest Vs Newcastle, Wolves Vs Burnley, mchezo mwingine utakua ni kati ya Bournamouth Vs West Ham United.

Michezo yote itakayochezwa leo imepewa Odds za kutosha pale kwenye tovuti ya mabingwa wa kubashiri wa muda wote kampuni ya Meridianbet. Weka mkeka wako sasa uweze kujishindia mamilioni.

Leave a Comment