×

Mtukio Kilele cha Maadhimisho ya Kutimiza Miaka 60 la Jeshi JWTZ Jijini Dar (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu,  Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi, wageni mbalimbali pamoja na wananchi wakati wa kilele cha Maadhimisho ya kutimiza miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Septemba, 2024.
Rais Samia akizindua Kitabu cha miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) .

MATUKIO mbalimbali wakati wa kilele cha Maadhimisho ya kutimiza miaka 60 la Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam leo Septemba 1, 2024.

 

Leave a Comment