×

Natasha: Sikuwahi Kuonana Uso Kwa Uso Na Mzee Majuto, Mjukuu Wangu Sonia Amelelewa Kwa Maadili – Video

Msanii wa Sanaa ya Uigizaji nchini Natasha.

Msanii wa Sanaa ya Uigizaji nchini Natasha amefunguka kupitia Global TV na kueleza kuwa katika maisha yake ya Sanaa hajawahi kubahatika kukutana na Marehemu Mzee Majuto.

Leave a Comment