×

Waziri Mkuu Atua Marekani Kwenye Mkutano Wa Baraza Kuu La UN, Apokewa Na Balozi Katanga – Video

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Septemba 20, 2024 amewasili nchini Marekani na kupokelewa na Balozi wa Tanzania Mjini New York, nchini Marekani na Mwakilishi wa Kudumu katika Umoja wa Mataifa, Balozi Hussein Othman Katanga.

Mheshimiwa Majaliwa yupo nchini humo kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa 79 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA79).

WAZIRI MKUU MAJALIWA ATUA MAREKANI KWENYE MKUTANO wa BARAZA KUU la UN – APOKEWA na BALOZI KATANGA…

Leave a Comment