×

Rais Samia Azindua Shule Ya Msingi Ya Mchepuo Wa Kingereza Ya Chief Zulu (Picha +Video)

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa Shule ya Awali na Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Chief Zulu, Songea mkoani Ruvuma tarehe 24 Septemba, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan Uzinduzi wa Shule ya Msingi ya Mchepuo wa Kingereza ya Chief Zulu Songea Mkoani Ruvuma, leo tarehe 24 Septemba, 2024

Rais Samia akizungumza na Mwanafunzi wa Shule ya Awali na Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Chief Zulu, Teofilo Mbunda kuhusu matumizi ya Computer shuleni hapo.
Rais Samia  akikagua moja ya Madarasa ya Shule ya Awali na Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Chief Zulu, mara baada ya ufunguzi mkoani Ruvuma.

 

Leave a Comment