Rais Samia Atembelea Kituo Cha Manunuzi Ya Mahindi NFRA Makita, Ruvuma – Video
Global Publishers September 25, 2024 0 Comments
SHARE THIS:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Mbinga Sokoni wilaya ya Mbinga, mkoani Ruvuma tarehe 25 Septemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan akitembelea kituo cha Manunuzi ya Mahindi NFRA Matika Mbinga Mjini Mkoani Ruvuma, leo tarehe 25 Septemba, 2024.
Rais Samia akipata maelezo ya upimaji wa mahindi kutoka kwa Afisa Ununuzi wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) Ndugu Andrew Massawe na maelezo ya uchambuaji na usafishaji mahindi kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) Dkt. Andrew Komba, katika kituo cha ununuaji wa mahindi Mbinga Sokoni kabla ya kuwasalimia wananchi wa wilaya ya Mbinga, mkoani Ruvuma tarehe 25 Septemba, 2024.