×

Yanga Yaondoka na Pointi tatu Dhidi ya Kengold katika Dimba la Sokoine, Mbeya

TIMU ya Yanga leo imeondoka na pointi tatu dhidi ya Kengold  katika dimba la Sokoine, Mbeya kwenye mchezo wa Ligi Kuu bara.

Wananchi wamefikisha pointi 6 baada ya mechi mbili huku KenGold wakiendelea kusubiri ushindi wa kwanza wa msimu baada ya mechi tano za msimu. Mfungaji wa bao Yanga ni la Ibrahim Hamad ‘Bacca’ limeipatia dakika ya 14

Katika mchezo mwingine, Wanamangush Coastal Union wameendeleza mwenendo mbaya kufuatia kipigo cha 2-1 dhidi ya JKT Tanzania katika dimba la Meja Jenerali Isamuhyo.

FT: JKT Tanzania 2-1 Coastal Union
⚽ Dilunga 14’
⚽ Kichuya 49’
⚽ Makwata 27’

RYN ROUTH AKIRI ALIKUSUDIA KUMUUA DONALD – USHAHIDI wa BARUA ALIYOIANDIKA MIEZI ILIYOPITA YAONEKANA

Leave a Comment