×

Rais Samia Afanya Mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Abbot

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Abbot Bw. Robert Ford pamoja na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Oktoba, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Abbot, Robert Ford pamoja na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Oktoba, 2024.

Leave a Comment