Naibu Wazir Mkuu Biteko Alivyokagua Banda la Azania Bank Maonesho ya Madini Geita
Global Publishers October 6, 2024 0 Comments
SHARE THIS:
Naibu Waziri Mkuu Mh.Dotto Biteko akipata maelezo kutoka Kwa Meneja wa Azania Tawi la Geita Bi. Rhoda Baluhya wakati alipotembelea Banda la Benki hiyo kwenye Maonesho ya Madini yanayoendelea Geita. Maonesho hayo ya Saba ya teknolojia ya Madini yamezinduliwa rasmi hapo Jana na yameshirikisha taasisi na wadau mbalimbali wanaotoa mchango katika kukuza Sekta ya Madini. Benki ya Azania ni Benki kinara katika kuwawezesha wachimbaji na Sekta ya Madini Kwa ujumla.