×

Harmonize Na Poshy Wameachana Rasmi, Dayna Nyange Atia Neno – Video


Msanii wa Muziki wa Bongofleva nchini Dayan Nyange amefunguka kupitia kipindi cha Bongo 255 na kueleza kuwa yeye ndiye msanii wa kike Afrika mashariki kufanya kazi ya Muziki na msanii kutoka nchini Nigeria Davido.

Dayana ameelezea zaidi kuwa anajivunia zaidi upekee wa kazi yake dhidi ya msanii Davido japokuwa maandalizi ya kazi hiyo yaligharimu kiasi kikubwa.

Leave a Comment