×

Rais Samia Aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu, Dodoma

Rais Samia akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Oktoba 10, 2024 ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.

Leave a Comment