Kijana Damu Niwagra Kabigwa anaendelea kusimulia maswaibu makubwa aliyoyapitia kwenye maisha yake ambapo leo anasimulia jinsi alivyopata ajali ya boti na wenzake ziwani, na kumfanya apige mbizi usiku kucha.
Kupitia kipindi cha #Hardtalk kinachotangazwa na @lillianmwasha_ ameeleza kuwa alipokuja kuokolewa, wananchi walidhani ni jambazi.