×

Doto Biteko Afanya mazungumzo na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU)

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko Oktoba 19, 2024 jijini Dar es salaam amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson.

NANDY AELEZA KILICHOTOKEA na MFANYAKAZI WAKE – ”YULE NINAMLIPA PESA NYINGI SANA”…

Leave a Comment