×

Jengo la ghorofa laporomoka katika Mtaa wa Kahawa West jijini Nairobi (Picha + Video)

Jengo la ghorofa katika Mtaa wa Kahawa West jijini Nairobi, limeporomoka na kusababisha taharuki kubwa katika tukio lililotokea Jumapili, Oktoba 20, 2024.

Gavana wa Nairobi, Johnson Sakaja amesema mpaka jioni, ni mtu mmoja pekee aliyeripotiwa kujeruhiwa katika tukio hilo, huku vikosi vya uokoaji vikiendelea na kazi ya kutafuta watu walionasa kwenye kifusi.

Leave a Comment