
Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini, Ummy Mwalimu Oktoba 20, 2024 amekabidhi Mashine kubwa ya Photocopy aina ya CANON kwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Tanga Ndugu Meja Mstaafu Hamisi Mkoba na wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Tanga.
Sambamba na mashine hiyo kubwa ya kisasa ambayo inatoa kopi 25 kwa dakika moja, ku-scan na kupriti Mhe Ummy pia amekabidhi rimu 10 za karatasi na wino .

