×

Softena, Harmonize Kimeumana, Video Zake Anayemrekodi Ni Mumewe – Video

Mtangazaji Softena amefunguka kuwa, idadi kubwa ya watu wamejitokeza wakitaka kumkutanisha na Harmonize, ikiwa ni siku chache baada ya msanii Harmonize kumpost mwadada huyo na Kuonyesha kuvutiwa naye.

Softena amefunguka hayo alipokuwa akifanya mahojiano na Gabby Mtanzania, kupitia Global Tv.

Lakini pia ameongeza kuwa, wengi wanomfuata Kwa dhumuni la kumkutanisha na amekuwa akiwaambia kuwa yeye ameolewa tayari.

Leave a Comment