Mdogo wa marehemu Grace Mapunda almaarufu Tesa, Mchungaji Moses Mapunda amefunguka kupitia Global TV na kueleza changamoto iliyokuwa ikimkabili Tesa mpaka ikapelekea umauti.