×

Vodacom Yasherehekea Siku ya VICOBA na Wanavikundi Jijini Dar es Salaam

Kampuni ya simu za mikononi ya Vodacom, imesherehekea Siku ya VICOBA na wanavikundi mbalimbali jijini Dar es Salaam, hafla iliyofanyika Oktoba 31, 2024 katika Ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Biashara wa Vodacom Tanzania Bw. Nguvu Kamando akizungumza na wanavikundi vya VICOBA katika hafla ya kusheherekea siku ya VICOBA iliyofanyika Alhamisi tarehe 31 Oktoba katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam. Vodacom walitumia hafla hiyo kuzindua vifurushi vya bei nafuu maalumu kwaajili ya vikundi hivyo vya kijamii ikiwa ni moja ya adhma yao ya kuhakikisha huduma za mtandao zinawafikia watu wote. Nyuma ni wafanyakazi wa Vodacom Tanzania

Vodacom walitumia hafla hiyo kuzindua vifurushi vya bei nafuu maalumu kwaajili ya vikundi hivyo vya kijamii ikiwa ni moja ya adhma yao ya kuhakikisha huduma za mtandao zinawafikia watu wote. Nyuma ni wafanyakazi wa Vodacom Tanzania.

 

 

Leave a Comment