×

Live Updates: Trump Ashinda jimbo la pili Muhimu la Georgia baada ya kushinda North Carolina

Taarifa kutoka The Associated Press (AP) kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Marekani zinaonesha Rais wa zamani, Donald Trump anaongoza kwa idadi ya Kura ambazo hutumika kuamua mshindi wa Urais (Electoral Votes)

Takwimu za awali zinaonesha Trump ana ‘Electoral Votes’ 247 huku Makamu wa Rais, Kamala Harris akiwa na 210, ambapo yeyote kati yao ili awe Mshindi atahitaji kupata Kura 270

Aidha, Kura za Wananchi hadi kufikia Saa 3 Asubuhi (EAT), zinaonesha Kamala amepata Kura 61,291,377 (47.4%) huku Trump akiongoza kwa Kura 66,074,641 (51.1%)

Wafuasi wa Donald Trump nasherehekea katika baadhi ya sehemu za Marekani huku mteuzi wao wa rais akisonga mbele katika matokeo yaliyotarajiwa.

Wengine wamevalia kofia zilizoandikwa (Make America Great Again – kauli mbiu ya kampeni ya Trump), wengine wamejifunika bendera ya Marekani.

Leave a Comment