×

Abbas Tarimba Ajivunia Kumaliza Mafuriko Kinondoni – Video

Mbunge wa Kinondoni, Abbas Tarimba.

Mbunge wa Kinondoni, Abbas Tarimba amefunguka na kueleza kwamba moja kati ya matatizo sugu yaliyopatiwa ufumbuzi Kinondoni katika kipindi chake ni mafuriko kwa kutengeneza miondombinu inayodhibiti athari za maji katika mito.

Pia amefunguka jinsi miondombinu ya elimu ilivyo imarishwa katika kipindi chake kama Mbunge wa Halmashauri ya Kinondoni.

Leave a Comment