×

Amos Makalla: Chadema Wanavurugana Hawajajipa – Video

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (NEC) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla akizungumza na Wanachama pamoja na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Temeke katika Ukumbi wa TPA SABASABA, NOV 08, 2024.

Katibu uenezi walichama Chama cha Mapinduzi (CCM) taifa, Amos Makalla, amewashauri viongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kumaliza migogoro iliyomo ndani ya chama chao.

Leave a Comment