×

Mke Wa Mzee Yusuph Afunguka Kupenda Kisamvu, “Kusuguliwa Kucha Siyo Vizuri” – Video


Muimbaji wa muziki wa Mwambao au Taarab, Malkia Leyla Rashid ambaye ni Mke wa Mfalme Mzee Yusuf amefunguka kupitia Kipindi cha KatiKati ya Koko cha GLOBAL TV na kueleza kuwa anatafuta na anazipata pesa, lakini anamuheshimu mume wake wakati wote.

Leave a Comment