×

Rais Samia Aongoza Waombolezaji Kuaga mwili wa Marehemu Lawrence Mafuru (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza Waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Marehemu Lawrence Nyasebwa Mafuru katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaa, leo tarehe 14 Novemba, 2024.

“Lawrence Mafuru pia ametuachia masomo mengi, miongoni mwa masomo hayo muhimu la kwanza ni kwamba, tukiwa hai tutoe mchango wetu kadri Mungu alivyotujaalia uwezo wetu.” – Rais Samia Suluhu katika ibada ya kuaga mwili wa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Lawrence Mafuru

Leave a Comment