×

Niffer Na Diva Wamekamtwa Na Polisi Dar, Afande Muliro Atoa Taarifa – Video

Jeshi la polisi jijini limethibisha kuwakamata watuhumiwa wawili Diva Gissele Malinzi (Diva the Bawse) pamoja na Jenifer Bilikwija (Niffer) kufuatia tuhuma za kukusanya pesa kinyume na Sheria.

Leave a Comment