Rais Samia Ashiriki Sherehe Za Kamisheni Na Mahafali Kwa Maafisa Wanafunzi Monduli, Arusha (Picha + Video)
Global Publishers November 28, 2024 0 Comments
SHARE THIS:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki Sherehe za Kamisheni na Mahafali kwa Maafisa Wanafunzi kundi la 05/7-BMS na Kundi la 71/23-Regular katika Chuo cha Jeshi la Ulinzi Monduli Mkoani Arusha, leo tarehe 28 Novemba, 2024.
Rais Dkt. Samia akiwatunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi katika sherehe zilizofanyika katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli mkoani Arusha tarehe 28 Novemba, 2024