×

Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile ametembelea Bandari ya Karema

Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile ametembelea Bandari ya Karema iliyojengwa na Serikali kwa takribani bilion 47.9. Kihenzile amewaleza wana Katavi kwamba baada ya kukamilika bandari hiyo , Sasa Serikali imesaini Kikataba miwli. Wa kwanza ni kujenga barabara inayounganisha Mji wa Mpanda mpka bandarin ambapok wakandras wawili tayari wako site na Mkataba wa pili ni ujenzi wa Meli Mpya Ziwa Tanganyika yenye Tani 3500, Ujenzi kiwanda cha Kutengeneza Meli Ziwa Tanganyika na kuanza Ukarabati wa Meli za MV Liemba, Mv Mwongozo na Mt Sangara. Aidha ukarabati wa wa Reli ya Kaliua-Mpanda Kilmeta 210 uko 15.7%.

Leave a Comment