×

Moto Wateketeza Vibanda Vya Mihogo Coco Beach Asubuhi, Mashuhuda Waeleza Kilichotokea – Video


Kamanda wa Jeshi la Polisi Kinondoni, SACP Mtatiro Kitinkwi ameeleza chanzo cha moto ulioteketeza vibanda vya mihogo katika eneo la Coco Beach, na kusema kuwa vitu vingi vimeteketea vilivyokuwa katika vibanda hivyo.

 

Leave a Comment