×

Mashindano ya Expanse Slot bado yapo Mubashara Meridianbet

Mabingwa wa kubashiri Meridianbet wamekuletea mchongo wa kufunga mwaka kabambe wa  Expanse Slot, inayotoa fursa kwa wachezaji kushinda zawadi kubwa kuanzia hadi Desemba 31, 2024.

Kumbuka, Mashindano haya ni maalum kwa watumiaji waliosajiliwa pekee kwenye jukwaa la Meridianbet. Washiriki wanaweza kufurahia michezo mbalimbali ya Expanse slot na kushindania nafasi za juu kwenye orodha ya washindi.

Ili kushiriki, hakikisha akaunti yako imesajiliwa kwenye meridianbet.co.tz. Wachezaji wapya wanakaribishwa kujiandikisha na kuungana na msisimko huu. Kama bado hujajisajili, JISAJILI SASA HAPA.

Michezo ambayo itahusishwa kwenye shindano hili la mabingwa ni kama ifuatavyo Book of Eksimo, Book of Egypt, Fortune Farm, Sticky 777, Veni Vidi Vici, Forest Rock, Piggy Party, Battle for the Throne, na Bounty Hunters

Kwa maelezo zaidi kuhusu kanuni na sheria za mashindano haya, tafadhali tembelea ukurasa wa promosheni kwenye tovuti ya Meridianbet.

Ikumbukwe hakutakua na mshindi mmoja tu wa Milioni taslimu kwakua hili ni shindano basi washindi watachukua kitita kama ifuatavyo

Mshindi nafasi ya 1- Tshs 1,000,000

Mshindi nafasi ya 2- Tshs 500,000

Mshindi nafasi ya 3 na 4- Tshs 250,000 kila mmoja

Mshindi nafasi ya 5- Tshs 100,000

Washindi hawataishia watano tu kwani wengine watakua wakipata mizinguko ya bure kwenye michezo mbalimbali ya kasino ambayo watakua wanacheza ambayo itawapa fursa ya kutengeneza maokoto ya kutosha.

Mbali na kucheza michezo mbalimbali ya kasino lakini pia Meridianbet wanakukumbusha usiisahau kubashiri michezo mbalimbali kwani ligi mbalimbali barani ulaya na dunia nzima zinaendelea karibu kila siku.

NB: Jisajili na Meridianbet upate bonasi kibao na kufurahia ushindi kila dakika unapobashiri michezo mbalimbali ikiwa na odds kubwa.

Leave a Comment