
Msanii wa Sanaa ya Muziki nchini, Rose Ndauka amerudi kwa kishindo kwa kuachia Extended Playlist (EP) yake ya kwanza MAJIBU RAHISI. EP hii inayozungumzia safari ya muziki ya kipekee ina jumla ya nyimbo 6, ikiwa na ladha ya aina yake na mapokezi makubwa kwa mashabiki wa muziki wa kila aina.
Katika EP hii, @iamrosendauka amefanya kazi na wasanii wengine wazito, akileta kolabo tatu za kipekee. Track ya kwanza, “Majibu Rahisi”, inamshirikisha mwanadada @appy_tz, ambapo wanakutana kuleta neno la nguvu kwa wapenzi wa muziki wa kisasa.
1.Majibu Rahisi
2.Sitaki
3.Acha Uongo
4.Yuko wapi
5.Tuko Sawa
6.Walete