The House of Social Media
gunners X

Fursa ya Ajira – Wauzaji wa Maduka, Mikocheni, & Mlimani City

0

Wasichana wenye talanta ya kuuza na huduma kwa wateja kujiunga na timu yetu ya maduka.

Vigezo / Requirements

Muonekano mzuri na nadhifu

Mwaminifu na waaminifu

Uwezo mzuri wa kuwasiliana na wateja

Uwe mkazi wa Dar es Salaam (Dar es Salaam resident)

Uwe na umri usio zidi miaka 33

Mshahara / Salary

Tsh 350,000

Jinsi ya Kuomba

Tafadhali wasiliana WhatsApp tu: 0747 065803

Leave A Reply