
Hashim Rungwe, Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) amesema haoni sababu ya viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kugombana.
Akipiga stori na Global TV, Rungwe amesema kuwa si sahihi kwa mambo ya ndani ya chama kutolewa nje.