×

Kutana Na Mwanafunzi Kipanga Aliyepiga Divisheni I Ya Pointi 7 Mtokeo Ya Form 4 – Aeleza Kwa Hisia – Video


Moses Mwaijande ni mwanafunzi kutoka Shule ya Sekondari ya Feza aliyeng’ara kwenye matokeo ya kidato cha nne yaliyotangazwa hapo jana, ambapo katika masomo yote 10, amepata daraja A na kumfanya kuwa na matokeo ya jumla ya Divisheni 1 ya point 7.

Leave a Comment