
Naibu Gavana Utawala na Udhibiti wa Ndani wa Benki Kuu ya Tanzania anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi kuwa usaili wa kuandika/mchujo (Aptitude Test) unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 15-02-2025 hadi 24-03-2025.
Wasailiwa watakaofuzu usaili huu na kwenda katika hatua zinazofuata watatakiwa kushiriki katika usaili wa vitendo au/na mahojiano kwa tarehe iliyoanishwa au kama watakavyotaarifiwa kwa wakati husika.
Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wa kuandika/mchujo (Aptitude Test) wanapaswa kuzingatia maelekezo
yafuatayo:-
BONYEZA HAPA KUENDELEA KUSOMA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI BENKI KUU YA TANZANIA 06-02-2025