×

Njiani Mwenyekiti wa Chadema Taifa Tundu Lissu Akielekea Nyumbani Kwao Ikungi

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Mhe. Tundu Lissu amesalimiana na  wananchi wa Manyoni akielekea katika mapokezi Nyumbani kwao Ikungi tangu kuchaguliwa kwake kuwa mwenyekiti wa Chama Taifa ambapo atakuwa na mkutano wa hadhara wa kuwahutubia wananchi wa eneo hilo na watanzania kwa ujumla kupitia mitandao mbalimbali.