The House of Social Media
gunners X

Diamond Na Rita Wachafua Hali Ya Hewa Mitandaoni – Video


Usiku wa kuamkia hii leo Februari 19, 2025 mitandao ya kijamii imechafuka baada ya kusambaa kwa video za mahaba zinazomuonesha msanii Diamond Platnumz akionesha mahaba mazito kwa mrembo, Rita Norbeth aliyejipachika jina la Mrs Naseeb.

Diamond amejibu kuhusu video hizo akielezea kuwa zililenga kumgombanisha na mkewe mtarajiwa, Zuchu.

Akaandika: “Nimeona kuna clip zinasambazwa mtandaoni zinazonihusu.Clip hizo ni za zamani, za mwaka 2023, na zina zaidi ya miaka miwili nyuma.
“Mwanamke huyo pia niliachana nae takriban miaka miwili sasa…
“Lakini pia nilimueleza mwenzangu niliyenae na tukasameheana na kuanza maisha mapya…
“Mwanamke huyo sasa ameamua kutumia clip hizo na kuambatanisha na jumbe za uongo kwa lengo la kuni -blackmail na kutengeneza fedha, jambo hili limeshafikishwa katika mamlaka husika na taratibu za kisheria zinafuatwa. Shukran,” aliandika Diamond.

Baada ya Diamond kujibu kumemfanya Rita Norbeth kuibuka kupitia insta-stori yake na kumjibu Diamond Platnumz.
Rita anadai kwamba yeye ndiye alimuacha Diamond mwishoni mwa mwaka jana kwa sababu aliona kwamba anampotezea muda.
Pia, anadai walikwenda pamoja Afrika Kusini, lakini Diamond alilala na msanii Fantana, jambo ambalo

Comments are closed.