
Sikiliza nondo za mtoto Mirabel Msikari aliyetrend mitandaoni kwa kuonesha uwezo mkubwa wa kuelezea kwa ufasaha hali ya upatikanaji wa nishati safi nchini, huku akitaja vyanzo mbalimbali vya uzalishaji wa nishati hiyo pamoja na umuhimu wake.
Ndoto za Mirabel ni kuja kuwa waziri wa nishati ambapo siku chache zilizopita, Naibu Waziri wa Nishati, Judith alimtembelea shuleni kwao na kumpa zawadi mbalimbali.