×

Rais Dkt. Samia Afungua Jengo La Halmashauri Ya Mji Wa Handeni (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa maji wa Miji 28 kwenye hafla iliyofanyika Handeni Mkoani Tanga tarehe 25 Februari, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Akifungua Jengo la Halmashauri ya Mji wa Handeni na kuzungumza na Wananchi, leo tarehe 25 Februari, 2025.