
Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) wanakaribisha Watanzania wenye bidii, wanaojituma, wenye uzoefu, na sifa zinazofaa kujaza nafasi thelathini na moja (31) za kazi zilizoainishwa hapa chini.
Mwisho wa kutuma maombi ni Machi 2, 2025.
NAFASI ZA KAZI CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT) >>> BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI