Msanii wa moto mwenye sauti tamu na uwezo mkubwa wa kucheza na ala za muziki si mwingine bali ni Abigail Chams ameachia video ya wimbo wake mpya wa ‘Me too’ ambao amemshirikisha Nyota wa Bongo Flava na Amapiano, Harmonize.