×

Video: Mjane Wa Hamis Aangua Kilio; Aliaga Asubuhi Anaenda Kazini, Amerudi Maiti

Khamisi Mwalimu Matimbwa enzi za uhai wake.

Mjane wa Kijana Khamisi Mwalimu Matimbwa (25), mkazi wa Temeke, Kata ya Tandika jijini Dar es Salaam, aliyefariki dunia hapo Jumapili, Machi 23, 2025 baada ya kudaiwa kupigwa na shoti ya umeme, amesimulia jinsi alivyopata taarifa za kifo cha mumewe.

🔴 Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.