×

Rais Samia Azungumza na Bibi Moza Himid na Mume wake

Rais Dkt. Samia akisalimiana na kuzungumza na Bibi Moza Himid na Mume wake Professa Saleh Idrisa wakati alipowatembelea kuwajuilia hali nyumbani kwao Maisara Zanzibar tarehe 03 April 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amezungumza na Bibi Moza Himid na Mume wake Professa Saleh Idrisa wakati alipowatembelea kuwajuilia hali nyumbani kwao Maisara Zanzibar tarehe 03 April 2025.