×

Taswira ya Jengo la Makao Makuu ya Mahakama Tanzania, na Makazi ya Majaji

 

Taswira ya Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na Makazi ya Majaji ambayo yamezinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, tarehe 05 Aprili, 2025 Jijini Dodoma.