×

Mchengerwa Avunja Ukimya Tuhuma Za Mrisho Gambo – Video


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa Aprili 22, 2025 amejibu tuhuma zilizoibuliwa na Mbunge Mrisho Gambo wa Arusha bungeni jijini Dodoma.