×

Polepole Akutana na Waziri Mkuu Mlimwa Jijini Dodoma

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mapema Aprili 30, 2025 amekutana na Balozi wa Tanzania nchini Cuba Humphrey Polepole, Ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa Jijini Dodoma.

Balozi wa Tanzania nchini Cuba Humphrey Polepole (kulia) akiongea jambo na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.