×

Shigongo Atangaza Dira ya Viwanda na Utalii, Akemea Kero ya Maji – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo akiwahutubia wananchi wa Nyehunge, amesema Buchosa ijayo itakuwa ni ya viwanda na utalii ambapo ameonesha kukerwa na suala la maji ya kunywa kwenye jimbo hilo kusafirishwa kutoka Shinyanga.